Posts

Showing posts from February, 2018
Image
NEATY ELECTRICAL CONTRACTOR KWA MAHITAJI YAKO YOTE YA UMEME WA MAJUMBANI NA VIWANDANI    Linda maisha ya watu uwapendao kwa kuacha kutumia vishoka kwenye kazi za ukandarasi wa umeme. Kwani Takwimu zinaonyesha ajali nyingi za moto zinatokana na ujenzi holela wa mifumo ya umeme majumbani na viwandani. Tupigie Neaty Electrical Contractor kampuni iliyosajiliwa na Bodi  ya Wakandarasi na EWURA na yenye mafundi waliobobea kwenye fani ya Umeme na wenye uzoefu wa muda mrefu kwenye ujenzi wa mifumo ya umeme. HUDUMA ZETU NI NAFUU! Mawasiliano: 0717406766 0784468487 0767468487