NEATY ELECTRICAL CONTRACTOR
KWA MAHITAJI YAKO YOTE YA UMEME WA MAJUMBANI NA VIWANDANI
Kwani Takwimu zinaonyesha ajali nyingi za moto zinatokana na ujenzi holela wa mifumo ya umeme majumbani na viwandani.
Tupigie Neaty Electrical Contractor kampuni iliyosajiliwa na Bodi ya Wakandarasi na EWURA na yenye mafundi waliobobea kwenye fani ya Umeme na wenye uzoefu wa muda mrefu kwenye ujenzi wa mifumo ya umeme.
HUDUMA ZETU NI NAFUU!
Mawasiliano:
0717406766
0784468487
0767468487

Comments
Post a Comment